Thursday, June 30, 2011

HII NDIO SHUGHULI NZIMA YA MISS MWANZA.....



Vodacom Miss Mwanza 2011 Irene Kalugaba akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Vodacom Miss Mwanza Joela Razaro (kulia) na Monica James mshindi wa tatu  wa shindano  la Vodacom Miss Mwanza lililofanyika kwenye  hoteli mpya na ya kisasa kabisa   ya Gold Crest  iliopo mkabala na New Mwanza  Hotel,katikati ya jiji la Mwanza.


Baadhi ya waandaaji pamoja na maofisa wa kampuni ya Vodacom wakiwasiliza walimbwende hao siku chache kabla ya shindano hilo

 

 Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa Bw Stephen Kingu akiwa katika picha ya pamoja na wafayakazi wenzake, kulia ni Janet Kambeson msaidizi wa Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Ziwa, Miriam Makalla Mwakilishi wa Mauzo Vodacom Kanda ya Ziwa , Bernald Kombe Activation Coordinator Lake Zone .
Hii ndiyo tano bora ya Vodacom Miss Mwanza kutoka kulia ni Ester Laurent, Monica James, Diana James, Irene Kalrgaba na Frola Razalo wakipozi kwa picha.
Majaji wa shindano hilo wakijadili jambo kabla ya kumtangza mshindi kutoka kushoto ni Cess Odemba Ben Mwangi,Cynthia Buhama
Kutoka kulia ni Rubeny , Msanii Mwasiti , Zamaradi Mketema wakibembeleza mtoto.
Lina wa THT na Sajna msanii kutoka mkoani mwanza. 
  
Msanii Barnaba akipagawisha mashabiki wake wakati wa shindano la Vodacom Miss Mwanza lililofanyika katika hoteli ya Gold Crest Hotel.
.Vazi la Ufukweni kama unavyoona.
Hapa wakiendelea kupita na vazi la ufukweni.
Vazi la Ufukweni bado linaendelea.
Wasanii wa mwanza wakifanya vitu vyao jukwaani wakati wa shindano .
Mdau Flora kulia wa Mwanza akiwa na rafiki yake
Vazi la ubunifu
apanHili limebuniwa kwa majani ma yaliyokolea rangi ya kijani.
Hili limebuniwa kwa kitenge na shanga.